Magige Lens

MAGIGE LENS

Taa Bora za Magari

BidhaaKuhusu SisiMawasiliano

Angaza Safari Yako kwa Taa Bora kabisa za Magari

Acha kulipa pesa nyingi kununua taa nzima. Sisi tunauza lenzi za taa (mbele, nyuma, kushoto, au kulia) kwa nusu au robo ya bei ya taa nzima. Pia, kama taa ina ukungu, vumbi, au uchafu wowote, Magige Lens ni suluhisho tosha!

Angalia BidhaaWasiliana Nasi

Okoa Pesa Yako

Nunua tu kipande cha taa unachohitaji—iwe mbele, nyuma, kushoto au kulia—kwa nusu au hata robo ya bei badala ya kununua taa nzima.

Suluhisho la Ukungu & Uchafu

Ikiwa taa yako ina ukungu, vumbi au uchafu wowote kwa ndani, tunaisafisha na kuirudisha katika ubora wake wa kiwandani.

Huduma ya Haraka

Tunakuhudumia kwa haraka na ufanisi ili urudi barabarani bila ucheleweshaji wowote.

Our Product Catalog

Browse our extensive collection of headlights and taillights for major automotive brands

Loading products…

Kuhusu Magige Lens

Magige Lens ni biashara iliyosajiliwa nchini Tanzania inayoongoza kwa kutoa suluhisho la taa za magari. Tunauza taa (headlights & taillights) mpya na used kwa ubora wa hali ya juu kwa ajili ya aina mbalimbali za magari.

Magige Lens: Namba ya Usajili: 623858 | Tunapatikana Dar Es Salaam, Ilala CBD

Get In Touch

Ready to upgrade your vehicle's lighting? Contact us today for quotes and availability

Phone

+255 686 410 208

Email

[email protected]

Location

Ilala, Dar Es Salaam

Magige Lens

MAGIGE LENS

Premium Auto Lighting Solutions

© 2025 Magige Lens. All rights reserved.

Business Registration: 623858